The Typologically Different Question Answering Dataset
Predictions
Scores
Panzimaji (kundinyota)
The Typologically Different Question Answering Dataset
Fungunyota ya Panzimaji ina nyota chache na dhaifu kiasi. Angavu zaidi ni β Beta Volantis yenye uangavu wa 3.77 mag ikiwa umbali wa Dunia wa miaka ya nuru 108.